Bunda: Kitimtimu cha Oparesheni 255 kimewaka, Lissu apokelewa kishujaa, Maelfu Wajitokeza

Ujumbe wako umefika hadi kwa Katibu Mkuu
 
Bunda leo Jioni

 

Attachments

  • Screenshot_2023-09-02-21-47-51-1.png
    159.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_2023-09-02-21-54-51-1.png
    145.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_2023-09-02-21-54-55-1.png
    158.6 KB · Views: 1
  • Screenshot_2023-09-02-21-55-02-1.png
    162.8 KB · Views: 1
Ili tuendelee tunahitaji ardhi, watu(wenye akili nzuri), siasa safi na uongozi Bora.
Ardhi (tunayo kubwa, ila tunaanza kugawa kwa kukosa/kupuungua hivi vitatu vingine).
Watu (tunao wenye akili nzuri wachache).
Siasa safi (hapo, siasa yahitaji uboreshaji).
Uongozi bora (ni changamoto kwa sababu ya ukosefu wa siasa safi).
Tunatakiwa kuboresha siasa (kwa kutumia watu wachache wenye akili nzuri), tutapata uongozi bora ambao utaweka mikakati ya kuboresha na kuongeza idadi ya watu wenye akili nzuri.
 
Wanajaa kumshangaa hana lolote
 
Hivi vikosi viwili TU ccm Chali

Angani -mbowe
Ardhini-lisu

Navuta picha zito zuberi wa chadema ,nauislam wake angepewa Kanda ya kusini huko ,akazungumzie bandari na katiba

Vuta picha hiyo
Mnaangalia ujazo wa hadhara. Uchaguzi mipango ndiposa mtaanza kulia lia oooh tumeibiwa.
 
Kwahio CHADEMA waanze kuwalipa mishahara ama?
 
Ila Mungu ni fundi ameumba wajinga wengi hapa Duniani Ili kuwezesha wachache watawale,wengi wao hapo ni maskini wa kutupwa na wanaamini eti kina Lisu na Chadema or any political party ndio itawaletea ugali mezani πŸ˜‚πŸ˜‚

Mwisho wakawaulize jirani zao hustlers hapo Kenya kama Ruto amewaletea Neema.

Mda wa kupoteza Kwa Wanasiasa ambao wanatafuta Kuendesha maisha Yao Kwa kutumia siasa ila wanakufanya wewe mjinga kuwa ngazi Yao Sina.
 
Kingine ni hiki , Habari za Mkataba mbovu wa Bandari zimewakasirisha mno wakazi wa Bunda , ambao Wamesisitiza ulazima wa Katiba mpya sasa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…