Nheeee!
Kumbe Biharmulo bado CCM ina wafuasi wote hao??!
Mmemuuliz alichokutana nacho BUKOBA mjini??!
Aliitisha mkutano Kashai akaishia kuitukana CHADEMA na CUF mbele ya watu kama kikao cha familia..
Vijana walisogea na kumtwanga maswali, akafura hadi mkutano ukafungwa bila kucheza mziki kama walivyozoea!
Wakati mwingine, CCM ni kama ugonjwa wa kuhara!
Unasumbuka kwa muda tu!