U ummy kaunga New Member Joined Jun 10, 2015 Posts 4 Reaction score 6 Feb 26, 2018 #1 Habarini? Naomba mnifahamishe sehemu ntakapo pata mbegu za zafaran (saffron bulb) nataka nianze hiki kilimo. Msaada plizz
Habarini? Naomba mnifahamishe sehemu ntakapo pata mbegu za zafaran (saffron bulb) nataka nianze hiki kilimo. Msaada plizz
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 34,434 Reaction score 59,289 Feb 26, 2018 #2 Big up mkuu Hivi inawezekana kulimwa huko maana inalipa haswa
U ummy kaunga New Member Joined Jun 10, 2015 Posts 4 Reaction score 6 Feb 26, 2018 Thread starter #3 black sniper said: Big up mkuu Hivi inawezekana kulimwa huko maana inalipa haswa Click to expand... Hope inawezekana muhimu ni kujaribu, zinahitaji jua la kutosha na ardhi yenye rutuba tuu.
black sniper said: Big up mkuu Hivi inawezekana kulimwa huko maana inalipa haswa Click to expand... Hope inawezekana muhimu ni kujaribu, zinahitaji jua la kutosha na ardhi yenye rutuba tuu.
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 34,434 Reaction score 59,289 Feb 26, 2018 #4 ummy kaunga said: Hope inawezekana muhimu ni kujaribu, zinahitaji jua la kutosha na ardhi yenye rutuba tuu. Click to expand... It's the world most expensive spice Iran ndio walimaji wakubwa Spain pia ingawa siku hizi dunia imeharibika wanachukua toka iran na kuandika produce in Spain. Jaribu mkuu ni zao ghali sana duniani
ummy kaunga said: Hope inawezekana muhimu ni kujaribu, zinahitaji jua la kutosha na ardhi yenye rutuba tuu. Click to expand... It's the world most expensive spice Iran ndio walimaji wakubwa Spain pia ingawa siku hizi dunia imeharibika wanachukua toka iran na kuandika produce in Spain. Jaribu mkuu ni zao ghali sana duniani
BUBE JF-Expert Member Joined Nov 9, 2010 Posts 845 Reaction score 254 Oct 11, 2021 #5 ummy kaunga said: Habarini? Naomba mnifahamishe sehemu ntakapo pata mbegu za zafaran (saffron bulb) nataka nianze hiki kilimo. Msaada plizz Click to expand... Naomba kujua wapi naweza kupata mbegu. Niko Mkuranga PWANI
ummy kaunga said: Habarini? Naomba mnifahamishe sehemu ntakapo pata mbegu za zafaran (saffron bulb) nataka nianze hiki kilimo. Msaada plizz Click to expand... Naomba kujua wapi naweza kupata mbegu. Niko Mkuranga PWANI