Bulaya na Mdee ni wanawake walio subutu tuwapongeze pia

kinandinandi

Senior Member
Apr 3, 2015
181
250
Ndugu kama kichwa cha habari kinavyo eleza hawa watu wameonyesha ujasiri wa hali ya juu tunapo endelea kumpongeza raisi wetu lazima tuwakumbuke hawa watu walishindwa kujizuia baada ya kuona mtu ambaye ameongea jambo la msingi anaitwa mwizi kisa tuu ni wa kambi ya upinzani na anapo omba kwa kiongozi wa bunge atende haki anatolewa bungeni kama mwizi wakaamua kujitoa mimi binafsi nawaona ma dada hawa ni mashujaa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom