Bukwimba sema changamoto zinazokabili jimbo lako bungeni, sio kuunga tu hoja

martini enock

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
635
273
Tangu achaguliwe mbunge wa jimbo LA busanda, Hajaleta maendeleo jimboni mwake

Raulensia bukwimba wengine wanapokuwa wanaomba bajeti ya maendeleo majimboni mwao
Yeye huunga mkono kwa wabunge ambao sio wa karibu nae Mimi najiuliza kwanini! Asiombe hata miundo mbinu? Maana kwenye jimbo lake Luna dhahabu za kutosha Lakini badala kurekebisha jimboni kwake yeye Utamsikia kwenye bunge anaunga mkono tu!

Chonde chonde bukwimba Changamkia mgao huo
Mwaka huu usikuache kapa.
 
Huyu mbunge ni muhula wake wa pili kuingia bungeni. Kwann mumemrudisha bungeni kama haleti maendeleo jimboni?
Mpaka hapo watanzania tutakapo acha uzuzu wa kushabikia wanasiasa bila kutathimini uwezo wao, ndipo tutakapo pata maendeleo.
 
Tangu achaguliwe mbunge wa jimbo LA busanda
Hajaleta maendeleo jimboni mwake

Raulensia bukwimba wengine wanapokuwa wanaomba bajeti ya maendeleo majimboni mwao

Yeye huunga mkono kwa wabunge ambao sio wa karibu nae

Mimi najiuliza kwanini! Asiombe hata miundo mbinu?

Maana kwenye jimbo lake Luna dhahabu za kutosha
Lakini badala kurekebisha jimboni kwake yeye
Utamsikia kwenye bunge anaunga mkono tu!

Chonde chonde bukwimba
Changamkia mgao huo
Mwaka huu usikuache kapa.
kama walimuua kamanda mawazo maendeleo yatatoka wapi??
 
mbunge halali walimuua hata wauaji bado hawajakamatwa, kamateni wauaji wa kamanda kwanza,
 
Kuweka rekodi sawa, hakuchaguliwa, ushindi wa mawazo ulibakwa na mawazo akauawa kinyama.
Yeye mwenyewe amehamisha familia yake hapo genge saba na hakuna mtu mwenye hamnae hapa.
Akitaka kupima upepo aje afanye mkutano wa kisiasa hapa!
Mimi nipo kwake nampimia tu!
 
Huyu mbunge ni muhula wake wa pili kuingia bungeni. Kwann mumemrudisha bungeni kama haleti maendeleo jimboni?
Mpaka hapo watanzania tutakapo acha uzuzu wa kushabikia wanasiasa bila kuwathini uwezo wao, ndipo tutakapo pata maendeleo.
Kuna team ya ushindi wa nguvu ilikuja huku
Ndio maana akashinda
 
Back
Top Bottom