Mkuu unaongea usichomaanisha ww hauna nia ya kuongea juu ya Bukoba bali unapenda kuongea juu ya watu sana na mambo mengine yasiyokuwa na mantiki...sasa hapa nani ameongelea watu ama na ww uko kama viongozi wenu wanaoshinda wanahubiri unyambo,uyoza,ukiziba,uangaza n.k?unalenga nn hapa?
Waitu nyege rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Ni wabaguzi kwenye nini wanapoongea lugha yao au ni wabaguzi wa ngozi
Kuna watu wanajiita Wanyambo,hao zamani walikuwa wanachukia wasipoitwa Wahaya,leo hii wamepata pata vi hela vya magendo ya Kahawa na kusomesha watoto,Walahi hawa wamechukua nafasi waliyokuwa nayo Waziba hapo zamani,kwa tambo wanaongoza na wanajoina wao ni super human,hawataki kuitwa Wahaya na wakilulizwa kama wanatoka mkoa wa Kagera wanasema hapana wao wanatoka Karagwe,sasa sijui Kragwe ni mkoa?wengine wanapenda angalau wafananishwe na Waganda kwani wanadhani asili yao ni UgandaBukoba tatizo lao ni ubaguzi,ni wabaguzi sana hawa jamaa,hata wao wenyewe wanabaguana licha ya kuwa asilimia kubwa hawana kitu zaidi ya misifa.Hawataki na wala hawapendi kuona watu wa mikoa mingine wakiwa Bukoba.Miji yote duniani imeendelezwa na wageni sasa kama hawa jamaa wanakataa wageni wataendeleaje aisee?Halafu kilugha kila mahali hadi kanisani na maofisini ni kihaya tu!
Wahaya tubadilike,tulekele olwango,'yabilima tabilye'!
Let us be sincere wivu wa wachaga ni wivu wa maendeleo,jirani kajenga ya vyumba vitatu mimi najenga ya vinne,on the contrary wahaya hatutakiani mema too much kubomoana.There is a time katika historia ya nchi hii tushakuwa na makatibu wakuu wa wizara tisa at one time (the mulokozi's,the tibakweitira,the rwegarulira,the kazauras etc) ilitusaidia nini? Angalia Msuya alivyoijenga mwanga,angalia mramba alivyoijenga rombo etc, sisi wahaya full majungu,olwango,tubadilike! kha!
Mungu aziweke pahala pema peponi roho za Cardinal Rugambwa na Askofu Kibira,angalau walijaribu.
Wakuja wanaitwa "Wanyamahanga"!example.Nilienda muleba kipindi flani nikawa naongea kiswahili to everyone mara nikaambie tutolee viswahili swahili vyako then wakawa wananiona wakuja sana.Nilichojifunza nimpaka nibehave kama wao in everything ndo waniaccept