Hansy wa East
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 446
- 232
Ehe mkuu bora hivi unapoenda sehemu ya data setting hua nakutana na hilo neno roaming ni nini hasa mkuuni 3g? jaribu voda roaming na tritel kama ipo
roaming ni mtandao mmoja kutumia network ya mtandao mwengine, mara nyingi hutumika unapotoka nje ya nchi, mfano vodacom ukienda kenya inatumia minara ya safaricom hivyo hio ni roaming.Ehe mkuu bora hivi unapoenda sehemu ya data setting hua nakutana na hilo neno roaming ni nini hasa mkuu
Mkuu hii Tritel si ilshakufa? Huwa naona mtandao wao (64001) lakini sielewi hapa inakuaje?roaming ni mtandao mmoja kutumia network ya mtandao mwengine, mara nyingi hutumika unapotoka nje ya nchi, mfano vodacom ukienda kenya inatumia minara ya safaricom hivyo hio ni roaming.
Hapa Tanzania pia kuna baadhi ya maeneo voda ikisumbua simu inaroam na minara ya tritel.
yah ilishakufa, kuna jamaa aliniambia humu kuwa ni minara ya mpango wa dunia wa mawasiliano vijijini, hata smart mikoani wanatumia minara hio hio.Mkuu hii Tritel si ilshakufa? Huwa naona mtandao wao (64001) lakini sielewi hapa inakuaje?
Minara ya hii kampuni iliuzwa kwa kampuni gani ya simu?
Duh. Umenikumbusha mbali sana. Tritel enzi hizo vocha ni za dollar tu. Lakini nakumbuka wataalamu wa enzi hizo walikuwa wanasema tritel ndio mtandao pekee wa DIGITAL enzi hizo, na baadae ulinunuliwa na MOBITEL.Mkuu hii Tritel si ilshakufa? Huwa naona mtandao wao (64001) lakini sielewi hapa inakuaje?
Minara ya hii kampuni iliuzwa kwa kampuni gani ya simu?
Huu mtandao ulinunuliwa na Mobite au Celtel? Maana kuna jamaa niliongea nae akaniambia yeye alikuwa anatumia Tritel na baada yavTritel kuzingua tena ikiwa na wateja kama 800 hivi, Celtel iliinunua na automatic wakawa wamehamishiwa Celtel.Duh. Umenikumbusha mbali sana. Tritel enzi hizo vocha ni za dollar tu. Lakini nakumbuka wataalamu wa enzi hizo walikuwa wanasema tritel ndio mtandao pekee wa DIGITAL enzi hizo, na baadae ulinunuliwa na MOBITEL.
Sawa mkuu nimekuelewayah ilishakufa, kuna jamaa aliniambia humu kuwa ni minara ya mpango wa dunia wa mawasiliano vijijini, hata smart mikoani wanatumia minara hio hio.
Sidhani kama enzi hizo Celtel walikuwepo.Huu mtandao ulinunuliwa na Mobite au Celtel? Maana kuna jamaa niliongea nae akaniambia yeye alikuwa anatumia Tritel na baada yavTritel kuzingua tena ikiwa na wateja kama 800 hivi, Celtel iliinunua na automatic wakawa wamehamishiwa Celtel.
Tritel ilikufa mwanzoni mwa 2000 wakati Celtel ilikuwepo tayariSidhani kama enzi hizo Celtel walikuwepo.
Asante mkuu ila nmechek haiponi 3g? jaribu voda roaming na tritel kama ipo
Wakuu nimefika bukoba nina kama wiki hivi ila network ni poor yaan sehem nyingi iko poor sana kuna sehem haishiki kabisa yaan inaenda hadi 0.0k/s hata whatsap haziingii text. Skype ndo ukiotea ndan ya 5sec inagoma nimejaribu kashai, miembeni, airport na hata kule bukoba club gymkhana bado ni ya kubahatisha. wadau wa bk naombeni mnambie mtandao gan afadhal maana nashindwa Kufany mengi kwa voda na halotel.
Depends na location...halotel mjini speed imesha shuka,..labda wanao kaa vijijin huko mambo yatakua mazur...
kuna watu bado wanasifia halotel hapo ni saa 03:48am lakini mtandao upo slow
Nipo Moshi MjiniDepends na location...halotel mjini speed imesha shuka,..labda wanao kaa vijijin huko mambo yatakua mazur...
Tuliokuwa tritel tulihamia VodaHuu mtandao ulinunuliwa na Mobite au Celtel? Maana kuna jamaa niliongea nae akaniambia yeye alikuwa anatumia Tritel na baada yavTritel kuzingua tena ikiwa na wateja kama 800 hivi, Celtel iliinunua na automatic wakawa wamehamishiwa Celtel.