avi.JNR
Senior Member
- Nov 17, 2015
- 139
- 87
Leo kwa mara ya kwanza namwaga machozi kuona mtu akinyimwa haki yake hakiyamungu
Habari kamili hii hapa
Ni Kijiji cha KARONGE
KATA YA IBWERA
WILAYA YA BUKOBA VIJIJINI
Ni katika shule ya msingi ya KARONGE tunakutana na uvunjifu wa haki za binadamu na walio wakubwa kuwa juu ya sheria
Mwalimu mmoja aitwaye Mwl NAZIR IDRISSA akiendeleza vitendo viovu shuleni hapo
Akipewa msaada mkubwa wa kuvunja haki za wanafunzi na Mwl mkuu kwa jina la MAJID
Mwlimu nazir amempa adhabu kali mwanafunzi wa darasa la sita la fimbo mpaka kumfanya mwanafunzi aitwaye DIANA kuvujia damu kichwanii
Mama mwenye mtoto akamua kwenda kutoa taarifa polisi lakini ni yale yale Mwl kaachiwa yupo mtaani na Bado Mwanafunzi Diana hali yake ikizidi kuwa mbaya mpaka hapa ameandikiwa rufaa ya kwenda kupata matibabu Bugando Hospital.
Ikiwa mama mwenye mtoto aitwaye Winnie akiwa na kipato kidogo sana .
Mama mwenye mtoto kaamua kukaa nyumbani na mgonjwa wake kwa kuwa hana hata uwezo wa kumtibia kwa hiyo anasubiria kuona mwanawe akipata madhara makubwa yanayosababisha kumuondoa mwanaye duniani ...
Haki za binadamu nendeni mumsaidie huyu mama ni mnyonge
Msaidie apate haki yake pia ku save uhai wa mwanaye tafadhali
Msamaria mwema mimi niliyeguswa na nisiye na sauti pia