Bukoba: Gari la msafara wa Mwenge lapata ajali

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,303
Gari lililokuwa kwenye msafara wa Mwenge wa Uhuru katika Manispaa ya Bukoba limeacha njia karibu na msitu wa Kyamunene kufuatia mvua kubwa iliyoanza kunyesha leo alfajiri. Hakuna madhara yaliyoripotiwa kwa waliokuwemo kwenye gari hilo.Picha na Phinias Bashay

 
Hivi huu mwenge huwa una faida gani??au tunadumisha fikra za mzee julius!sijaona mi nchi nyingine wana mambo kama hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…