MBOKA NA BISO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 760
- 792
Kwani, DRC unadhani ipo tayari kuachia!? Lazima wapimane nguvuIna maana tangazo la M23 kusitisha vita ilikuwa uongo ?
Kila wanapopigana M23/RDF hushinda na kuzidi kuteka maeneo.Kwani, DRC unadhani ipo tayari kuachia!? Lazima wapimane nguvu
Hamna jeshi kabisa...Congo ina jeshi la hovyo kabisa.
Watutsi wapiganie HAKI zao na kama wanataka watu wa kwenda kuwasaidia waweke namba zao za simu.Video, ni wanaouwawa Kivu kusini,kisa kuwa watutsi.
Wangekua wanapinduliwa kila siku Kama ni dhaifu kiasi hichoKila wanapopigana M23/RDF hushinda na kuzidi kuteka maeneo.
Kiufupi jeshi la Drc hawana uwezo wowote wa kufanya 'counter offensive '.
T14 Armata Tresor Mandala
Ajabu hela zote wameshindwa kutafuta security guarantees na taifa lolote kubwa atleast walipane kwa shares of resources, kwa yanayoendelea tshisekedi atapinduliwa halafu kagame ataweka mtutsi ili congo iwe chini yakeCongo ina jeshi la hovyo kabisa.
Lengo la RDF si kumpindua Tshekedi ila ni kumkumbusha kutogusa maslahi ya Rwanda huko Kivu.Wangekua wanapinduliwa kila siku Kama ni dhaifu kiasi hicho
Wanajeshi elfu 10??? Something fishyBaada ya Goma kuangukia mikononi mwa M23, mtutu wa bunduki ulielekezwa Kivu kusini, huku mji mkuu ukiwa Bukavu.
Serikali ya Burundi kwa makubaliano na DRC, ilipeleka wanajeshi wapatao elfu 10 kuhakikisha Bukavu inalindwa kwa nguvu yote.
Uwanja wa Kavumu, unatumiwa na serikali ya Burundi na DRC kuleta siraha toka Kinshasa na Bujumbula.
Baada ya wanajeshi hao kushindwa kuwazuia wakiwa Kalehe, vita vinaendelea eneo la Katana, ambalo lipo umbali wa km 11 tu kutoka uwanja wa ndege huo wa Kavumu.
Kukamatwa kwa uwanja huo, kutaondoa uwezekano wa serikali ya Burundi na kinshasa kuongeza nguvu. Hapo juzi, jeshi la Congo lilivamia wafanyabiashara na kupora mali zao, benki zimeibiwa.
View: https://x.com/kabagambei/status/1888701569870319802?s=46Video, ni wanaouwawa Kivu kusini,kisa kuwa watutsi.
Che Guevara alienda kusaidia wanamapinduzi wa congo, akakuta hakuna watu serious, bali wapenda starehe. Akasepa zake, akasema hakuna wapiganaji hapo.che quvala kuondoka na kuwaacha ,SHIDA ilikuwa hiyohiyo
Hawana hata hadhi ya kuitwa wana mgambo bali ni kikundi cha panya road .Hamna jeshi kabisa...
Ila mkusanyiko wa wanamgambo..