Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,434
hii Ina vyumba vingapi mkuu??, total mpaka complete yaweza kuwa ngapi??Design & Construction, we're here to serve you. Karibu watsap/call tukuhudumie +255713805750. Tupo Dsm, Popote Tanzania tunakufikia. Welcome all!
View attachment 2890505
3 Bedrooms hii, Integemea pia unajenga wapi, nature ya ardhi yako, upatikanaji wa materials nk. Bajeti ya 200m-250m unapata kitu kama hicho. Lakini zaidi waweza niona watsap 0713805750. Karibu!hii Ina vyumba vingapi mkuu??, total mpaka complete yaweza kuwa ngapi??
Karibu mkuu, tunafanya kadri ya mahitaji yako, Karibu sana boss.Mbona magorofa tuu, vipi sie kajamba nani wazee wa 2 bedroom hamtuhitaji tuwachangie vilaki mbili tatu
Building permit mwanitafutia pia?Karibu mkuu, tunafanya kadri ya mahitaji yako, Karibu sana boss.
Ndio kutokana na makubaliano, kila kitu tunakufanyia. Karibu sana mkuu!.Building permit mwanitafutia pia?
Hayao ndio maneno mtu wangu.Ndio kutokana na makubaliano, kila kitu tunakufanyia. Karibu sana mkuu!.