sijakusoma kabisa, lugha hii
isije ikawa ni april fools' day, jamaa anatuteg?>!>>
kwani ni mwezi mzima
ha ha ha!! May be or may be not. I'm not sure!!
SI UNONA HATA HIYO JOIN DATE....
C6 si uliniambia umesoma Int School of Moshi(ISM)? nisaidie hapa jamaa anatoa somo au ni biashara?nahisi sijaelewa.kwani ni mwezi mzima
hahahhahaa nilikwambia nilisoma ya mwanza bana, hatukufundishwa haya bana
hhhahahaaaa haya mkubwa,kumbe ulikuwa mtoro kama mimi? ngoja niassume jamaa anataka tujiunge free masons so sitaki hata kuelewa sana.