Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 Nov 24, 2015 #41 Ngongo said: KCMC inahudumia watu wa kaskazini walimpatia kura kiduchu.halfu usisahau Bugando ni Catholic na KCMC ni Lutheran anakotoka Lowassa mbona wataisoma namba waprotestant haaa haaa. Click to expand... Kaskazini hawatakaa waletewe maendeleo.
Ngongo said: KCMC inahudumia watu wa kaskazini walimpatia kura kiduchu.halfu usisahau Bugando ni Catholic na KCMC ni Lutheran anakotoka Lowassa mbona wataisoma namba waprotestant haaa haaa. Click to expand... Kaskazini hawatakaa waletewe maendeleo.
Barbarosa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2015 Posts 22,584 Reaction score 27,837 Nov 24, 2015 Thread starter #42 kisanganyakiswata said: Sorry hivi bugando ni hospital ya serikali ? Click to expand... HAPANA! Lakini inapata ruzuku ktk Serikalini kama vile KCMC, Serikali ina mchango wake!
kisanganyakiswata said: Sorry hivi bugando ni hospital ya serikali ? Click to expand... HAPANA! Lakini inapata ruzuku ktk Serikalini kama vile KCMC, Serikali ina mchango wake!
Barbarosa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2015 Posts 22,584 Reaction score 27,837 Nov 24, 2015 Thread starter #43 hippocratessocrates said: Bora kukaa kimya kama hujui jambo! Kutoa ruzuku kwa "kila hospitali kunafanya" Bugando kuwa hospitali ya Serikali? Pili, umuhimu wa kuchagua CT Scan over MRI ni upi au unadhani zote zinafanya kazi sawa!? Click to expand... Sasa hilo swali unaniuliza mimi kweli?
hippocratessocrates said: Bora kukaa kimya kama hujui jambo! Kutoa ruzuku kwa "kila hospitali kunafanya" Bugando kuwa hospitali ya Serikali? Pili, umuhimu wa kuchagua CT Scan over MRI ni upi au unadhani zote zinafanya kazi sawa!? Click to expand... Sasa hilo swali unaniuliza mimi kweli?
kisanganyakiswata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2014 Posts 1,302 Reaction score 553 Nov 24, 2015 #44 Barbarosa said: HAPANA! Lakini inapata ruzuku ktk Serikalini kama vile KCMC, Serikali ina mchango wake! Click to expand... Kama nihivyo kwani haiwezekani serikali kupeleka kwenye hospital zake kwakua hizo hospital hazina unafuu wowote pamoja na kupewa ruzuku
Barbarosa said: HAPANA! Lakini inapata ruzuku ktk Serikalini kama vile KCMC, Serikali ina mchango wake! Click to expand... Kama nihivyo kwani haiwezekani serikali kupeleka kwenye hospital zake kwakua hizo hospital hazina unafuu wowote pamoja na kupewa ruzuku