ccm hamna chenu, hii ni serikali ya Magufuli. Wasukuma ndo tumemuweka magu kwenye kiti na ndo maana amefuta safari za maccm nje ili kaleta MRI bugando ili bangosha tubate tiba safiInang'ara CCM! Inang'ara CCM! Kimenuka kwa UKIWA/CHADOMO...huku watu wanajipanga kujenga NCHI wao wanajipanga kuleta VURUGU.....mwaka huu sijui wamekula MAJANI YA WAPI!!!
KCMC inahudumia watu wa kaskazini walimpatia kura kiduchu.halfu usisahau Bugando ni Catholic na KCMC ni Lutheran anakotoka Lowassa mbona wataisoma namba waprotestant haaa haaa.
ccm hamna chenu, hii ni serikali ya Magufuli. Wasukuma ndo tumemuweka magu kwenye kiti na ndo maana amefuta safari za maccm nje ili kaleta MRI bugando ili bangosha tubate tiba safi
Naona ndugu yangu we we uko nje kidogo ya mfumo wa ccm.Walio ndani 100% wanalia na kusaga meno, wanashangaa imekuwaje mwenzao kawa geuka.Madill,kujuana, urafiki, hawala nk. Uchafu - Magu kaweka pembeni hiyo Sera mama.Waulize walio jikoni hapo Lumumba wana msiba mioyoni.
Lakini unashangaza unapotaka kulinganisha ccm walioko madarakani na Ukawa ambao hawako madarakani.Nakuomba usubiri uone watakavyo kuwa wanaisimamia serikali yenu bunge litakapo anza vikao.
Kcmc niya serikali naomba kufahamu
Huyu ombeni sefue mbona kawa kiungo mzuri siku hizi. Wakati wa JK alikua hatakati kama hivi!! Kumbe kazi anaziweza??. Kweli utamu wa pipi mate yako.
Huyu ombeni sefue mbona kawa kiungo mzuri siku hizi. Wakati wa JK alikua hatakati kama hivi!! Kumbe kazi anaziweza??. Kweli utamu wa pipi mate yako.
Hapo Chadema ni raha tupu sababu hayo anayofanya ndo yamo kwenye ilani ya Ukawa na tumeyapigania sana kwenye katiba ya Warioba na kwenye Binge la kumi.
Hapo ndugu yangu CCM mnajishauwa tu lakini ukweli namba mnaisoma wenyewe maana Magufuli anaimba kama CCM na kucheza kama UKAWA/CHADEMA.Mambo ya dill hamna tena.CCM hata nyumba ndogo inabidi wapunguze. Kama demu ulikuwa hujahongwa Gari ndo basis tena.
Lengo la Ukawa ni kuona wananchi wananufaika na lasilimali zao.Akipatikana MTU wa kutekeleza malengo ya Ukawa kuna shida gani?
Tunataka na wale wa escrow has a waliochukulia pesa stanbic bank waisome namba.
Wewe utakuwa ni CHAGGA la kutupwa! Mikoa yote ukiondoa manyumbu ya Kilimanjaro, Arusha, Pemba na Dar....wameshiriki kumweka TINGA TINGA madarakani........ Hii ndiyo CCM chama cha KITAIFA!
safi sana ila wale madaktari wa kamanga medics wataiharibu tu wanaroho mbaya kweli, ikiwasili walete madaktari wapya na mafundi wapya,
Ombeni JK alimtoa wapi yaani jamaa mbili tu ukawa wamepoteana, siku ya kukabidhi uje tukuchezee na ngoma ya kisukuma ya bujora.
Wale jamaa acha wazunguke na mawazo wao ila wasituletee kipindupindu manake hawakawii kushusha mzigo.
KCMC inahudumia watu wa kaskazini walimpatia kura kiduchu.halfu usisahau Bugando ni Catholic na KCMC ni Lutheran anakotoka Lowassa mbona wataisoma namba waprotestant haaa haaa.
ccm hamna chenu, hii ni serikali ya Magufuli. Wasukuma ndo tumemuweka magu kwenye kiti na ndo maana amefuta safari za maccm nje ili kaleta MRI bugando ili bangosha tubate tiba safi
Bugando ni mali ya serekali au unajitekenya na kucheka mwenyewe.Isitoshe serekali inatoa ruzku kwa hospital zote za mashirika ya dini kwakuwa wanatoa huduma kwa watanzania wote bila kuangalia dini zao.
Katibu Mkuu Kiongozi Bw.Ombeni Sefue amesema Serikali imeagiaza mashine ya mpya MRI kwa ajili ya hospitali ya Bugando, Mwanza na pia CT SCAN nyingine mpya kwa ajili ya Hospitali ya Muhimbili!