JUKUMU Member Joined Apr 5, 2009 Posts 88 Reaction score 42 Dec 9, 2011 #1 Jamani mwenye kujua kiasi kilichotumika kwenye maandaliz ya birthday ya marehemu (Tanganyika), anijuze. Pia swala zima la hao watoto, je wanapewa kiasi gani? maana kazi wanayofanya si mchezo.
Jamani mwenye kujua kiasi kilichotumika kwenye maandaliz ya birthday ya marehemu (Tanganyika), anijuze. Pia swala zima la hao watoto, je wanapewa kiasi gani? maana kazi wanayofanya si mchezo.
F FredKavishe JF-Expert Member Joined Dec 4, 2010 Posts 1,090 Reaction score 322 Dec 9, 2011 #2 Hizi sherehe za uhuru kwa kukadiria zimetumika zaidi ya shs tilioni 1 tsh Naomba kila wizara watoe figure zao walizotumia
Hizi sherehe za uhuru kwa kukadiria zimetumika zaidi ya shs tilioni 1 tsh Naomba kila wizara watoe figure zao walizotumia
Gurta JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 2,233 Reaction score 537 Dec 9, 2011 #3 Wamekwisha sema kuwa ni TZS Bilioni 50, hii si habari mpya
F FredKavishe JF-Expert Member Joined Dec 4, 2010 Posts 1,090 Reaction score 322 Dec 9, 2011 #4 Gurta said: Wamekwisha sema kuwa ni TZS Bilioni 50, hii si habari mpya Click to expand... Ni zaidi ya hiyo
Gurta said: Wamekwisha sema kuwa ni TZS Bilioni 50, hii si habari mpya Click to expand... Ni zaidi ya hiyo
Egwugu JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 17,558 Reaction score 8,556 Dec 9, 2011 #5 Mwanzo niliambiwa siku ya leo inagharimu 50billioni
Egwugu JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 17,558 Reaction score 8,556 Dec 9, 2011 #6 Mwanzo niliambiwa siku ya leo inagharimu 50billioni
J janejean Member Joined Dec 8, 2011 Posts 89 Reaction score 23 Dec 9, 2011 #7 Duuuh!! hela nyingi.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Abbasy Senior Member Joined Nov 24, 2010 Posts 123 Reaction score 9 Dec 9, 2011 #8 ebana inauma waalimu mpaka leo hawajalipwa mishahara yao