Budget ya kuendesha chaguzi

Budget ya kuendesha chaguzi

Joined
Sep 4, 2012
Posts
26
Reaction score
5
Naomba kujua budget ya kuendesha a) Uchaguzi wa mbunge ktk Jimbo moja
b) Udiwani ktk Kata moja
Kwa kuzingatia yafuatayo
1) budget kichama
2) budget ya Tume ya uchaguzi NEC
3) mfumo wa upatikanaji fungu husika
4) Kwa kuzingatia matumuzi kwa ajili ya uchaguzi na maisha ya mtanzania ni Kwanini anayesababisha haya kwa makusudi asitiwe ndani? Au Ndo uchumi unakua sambamba na ongezeko la kuitisha chaguzi zisizo na mpangilio kibudget?
 
Back
Top Bottom