Mbona umeweka picha ubora wa chini namna hiyo ndugu, hujaona hata aibu???
Itoe tafuta picha quality walau hata nne hivi, kwenye mambo kama haya muonekano ni kitu cha kwanza, sasa muonekano wenyewe hata analog ina afadhal ,
Mtu akiona anatakiwa ajikute keshasema "Waooh" sio hivi mkuu
Nimejikuta nasema yote haya bahati mbaya...