Habarini wana jamvi ,kwa yoyoye mwenye kuifahamu hiyo kozi hapo juu anifahamishe inahusiana na nini?,Je soko lake la ajira lipo? na vyuo gan vinavyotoa hiyo kozi?.Msaada tafadhal!.
Inahusiana na land survey and land planning. Chuo n Ardhi kuhusu ajira hakuna ajira ya uhakika useme umalize upate wapo wanaomaliza mpaka na ww unamaliza hawajapata ajira
Usisome kazi kwa kuangalia ajira utapotea zama zimebadilika sana

Nafikiri inahusiana na kudesign muonekano wa landforms mbalimbali including bustani na sehemu nyinginezo. Ulaya inalipa sana lakini bongo kila mtu anajifanyaga mjuaji hivyo itachukua muda kuja kufahamika kuwa ni taaluma mahususi