Scropion_Master
Senior Member
- Jan 8, 2017
- 109
- 113
Habarini zenu wadau, mimi ni kijana, muhitimu wa Bsc in Geology mwaka jana (2016). Nimekuwa nikihangaika kwa muda kidgo kutafuta kazi ila nimekutana na kikwazo cha uzoefu.
Hivyo basi kwa kufahamu kwamba jamii forum kuna watu mbali mbali ambao wanaweza kunisaidia.
Naleta ombi kwenu kwa mwenye uwezo wa kunisaidia kuweza kupata sehemu ya kufanya intership au kuvolunteer,Especially kwny migodi either large scale au medium scale mining nitashkuru sana. Natanguliza shukrani.
N.B wale wanaokimbilia kukoment jiajiri nimejiajiri kwa kibiashara changu kidgo lakini sipendi taaluma yangu ipotee.