Bsc in chemistry ni kozi nzuri Kama Una connection utakula shavu sana kwa sababu ni kozi inayoingia popote lakin pia ukimaliza unaweza ukaomba ajira idara ya maji, kwa mkemia mkuu(panahitaji connection), NEMC (connection hinaitajika), pharm industry (hapa pana Competition na pharmacy) , mines, TFDA(connection),