Its gud proffession na kwa sasa serikalini kuna kazi nyingi sana za watakwimu kwenye idara za Mipango na ICT ila tatizo ni mfumo wa sasa ajira zote kupitia tume imekuwa ishu kupata nafasi. Ila kama unayo Transcript apply sehemu mbalimbali serikalini au kwenye mabenki pia apply nafasi za Risk and Complince