Mr.samba de man
Member
- Sep 4, 2013
- 55
- 7
Wadau kati ya faculty ya Agronomy na General Agriculture ipi ni coz nzuri wadau nipo najipanga mwakani niombe lakn saiz nina dip general agriculture nipo najipanga kwani mwaka huu niliombea cheti cha six lakn nimekosa loni nimeacha kuripoti st.joseph mana ada nimeona itanitesa hivyo chjakata tamaa kabisa ya kusoma.Naomba ushauri wenu wakuu