Brother uliyeoa nisikilize

Umeandika ukweli. Lakini ukweli mwingine ni kwamba ndoa inapitia hatua za makuzi kama mtoto. Kwa hiyo pamoja na kufuata/ kufanya yote uliyoshauri haitazuia kupita katika hatua/ njia zake.

Na kwamba ktk hatua hizo changamoto haziwezi kukosa na hizo ndizo zitasababisha mwanaume kuwa PM na mwanamke kuwa kuruta, lakini kumbuka hiyo itatokea ktk hatua moja wapo.

So, kupita salama ktk hatua zote itategemeana na jinsi/ namna mtavyokuwa mnazikabiri changamoto hizo ktk kila hatua husika.
 
Kweli kabisa ...
 
"Mwanamke ni kama unga wa ngano"... Kubadirika ni dk sifuri tu kama kinyonga. Mwisho wa kunukuuu....
 
Una umri gani kwanza?pili umeoa?tatu unakazi ya kufanya.?nne unawajua wanawake wa kibongo?

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi tunaamini hayana formula(muongozo) lakini tujitahidi kadiri tuwezavyo lasivyo ndoa zitaonekana jela ya kujitakia..

Wanawake nao wakishazaa mapenzi yanahamia kwa mtoto, wanasahau watoto wakubwa(waume zao😒)
 
Kaka zako tumekusikia bwanamdogo, sasa hamia upande wa pili...ongea pia na dada zako..ili mzani ubalansi.
 
Kuishi kwenye ndoa,yataka uvumilivu sana,unaweza ukamfanyia yote unayoona yanafaa,akaku-disappoint kwa kulala na bodaboda au muingiza muvi kwenye flash yake.
 
Hakika, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Umaskini na wivu uliopitiliza ndiyo chanzo
 
Ndoa haina formula na kumfanyia mwanamke hayo uliyoandika unatakiwa uwe stable financial na kazi ya uhakika sio unatoka asubuh unarudi usiku na mihangaikoni umetoka patupu hayo mambo utaishia kuyaona kwa wakorea tu.
 
Write your reply...umeoa baba au unaongea tu?hahahaaaaaa ukiwa nje ya ndoa utaongea kila jema ingieni muone...
 
Ndoa???????khaaa ya nini mie???ya nini mie!???
 
Tumeshakataza maelezo kuwa mengi 😂 😂 😂

Maisha yanavyotupeleka kasi, hayo uliyoyasema yapo kwenye ndoto sio uhalisia; labda uamue katika maisha yako utafanya kazi ya kumfurahisha mke wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…