Habari wadau.
Kuna kijana wangu amekesha kwenye mtandao akitafuta "Broadcasting and Information Policy za mwaka 1972, 1993 na 2003" ni mwanafunzi wa Diploma chuo fulani hapa Dar.
Anatakiwa kuzichambua jinsi zilivyoathiri tasnia ya Habari.
Nimemwambia ngoja nitume kwa wadau hapa wanaweza kujua juu ya hii kitu.
Kama kuna mtu anajua link ya kumsaidia kijana azipate hizo policy, tafadhali usaidie.
Nimemwambi achunguli humu