British Embassy wanavyotu sabotage

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
881



Hii the so called ita dhidi ya UFISADI naona itakuwa ni kama kutwanga maji kwenye kinu tuu kwa sababu hawa kwanza ndio wa kwanza kwa kuendekeza huo ufisadi wao. Hapo bado hatujaanza hata kufunua funuanamna ambavyo DFID walivyokuwa wanatuasabotage kwenye kubinafsisha DAWASA...


Hebu soma hapa:


bado mnataka kuendeleza mapambano?
 
Malizia na hitimisho lako .... Tanzania ikijiunga jumuia ya kiislam na kuanzisha mahakama ya kadhi, ufisadi wote huu utakuwa historia.
 
Malizia na hitimisho lako .... Tanzania ikijiunga jumuia ya kiislam na kuanzisha mahakama ya kadhi, ufisadi wote huu utakuwa historia.

Do you seriously mean what you are saying? Unajua kuwa hizi mahakama za kadhi zinakooperate nakko ziko corrupt sana? Hapa kwetu zikiingia najua iko siku watu wataanza kuchapana mikwaju, tusubiri tu zije tuone, mwaka mmoja miwili mitano zitasifiwa sana. Baadaye itakuwa mshikemshike Nigeria style.
Kwa jamii kama ya Tanzania kuleta mahakama ya kadhi it is primitive way of addressing issues in our complex society. Ni kama serikali bado iko kwenye lepe zito.
Siku hizi usiwaamini watu wa nje kama watakusaidia kuhusu issues za ufisadi. Hata kama mimi ningekuwa Rais mtu akiiba mabilioni kwa akayaleta Tanzania, nitamlinda tu as long as yanainufaisha Tanzania. Mawaziri wa UK nao wana ufisadi pia, hii issue ya BAE haitakwenda popote unless Cameron anaingia madarakani. Chenge, Vithlani na wengine wataendelea kupeta tu, watanzania ndio tumeliwa.
 
Huu Hayati Mwalimu aliuita ubeberu wa kimataifa!
 
hao PCCB wamkamate chenge na Idrisa kwanza
 
mnaona unafiki huu

sasa mmeiondoka kwenye siasa ili iweje? woga?
 
UK imeshafanya vitu vyake Saudia (Defense Contract) itakua Tz. Tz ni sawa na kunyag'anya lawalawa/pipi/peremende kwa mtoto.
 
Malizia na hitimisho lako .... Tanzania ikijiunga jumuia ya kiislam na kuanzisha mahakama ya kadhi, ufisadi wote huu utakuwa historia.

Tupe Mfano wa Nchi inayotumia MAHAKAMA ya KADHI na Haina UFISADI; Kuwa na Mahakama ya KADHI sio lazima Uwe Mwanachama wa Jumuia ya KIISLAM; UGANDA ni Wanachama wa Jumuia ya KIISLAMU na kuna MAFISADI NGULI; MAHARAMIA wa KUTISHA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…