Y yumbu Member Joined Mar 16, 2012 Posts 66 Reaction score 10 Jul 6, 2016 #1 #JamboLEO Wabunge UKAWA kwenda mahakamani baada ya kunyimwa posho kutokana na kuingia bungeni kusaini kisha kutoka millard ayo on Twitter Nasoma kitabu cha darasa la nne 1999 SIZITAKI MBIVU HIZI.
#JamboLEO Wabunge UKAWA kwenda mahakamani baada ya kunyimwa posho kutokana na kuingia bungeni kusaini kisha kutoka millard ayo on Twitter Nasoma kitabu cha darasa la nne 1999 SIZITAKI MBIVU HIZI.
The Guitarist JF-Expert Member Joined Jul 18, 2015 Posts 3,532 Reaction score 5,174 Jul 6, 2016 #2 kwa mtindo huu kuna haja ya mods kutoa vibali vya kuanzisha threads!..
The Businessman JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 7,397 Reaction score 9,264 Jul 6, 2016 #3 yumbu said: #JamboLEO Wabunge UKAWA kwenda mahakamani baada ya kunyimwa posho kutokana na kuingia bungeni kusaini kisha kutoka millard ayo on Twitter Nasoma kitabu cha darasa la nne 1999 SIZITAKI MBIVU HIZI. Click to expand... Kuna thread yako nyingine umeianzisha leo inasema "ukawa mpaka lini" lakini Contents zake ni hizi hizi... Umejiunga 2012 lakini bado unapost madudu.
yumbu said: #JamboLEO Wabunge UKAWA kwenda mahakamani baada ya kunyimwa posho kutokana na kuingia bungeni kusaini kisha kutoka millard ayo on Twitter Nasoma kitabu cha darasa la nne 1999 SIZITAKI MBIVU HIZI. Click to expand... Kuna thread yako nyingine umeianzisha leo inasema "ukawa mpaka lini" lakini Contents zake ni hizi hizi... Umejiunga 2012 lakini bado unapost madudu.
Geofrey Maseta JF-Expert Member Joined Nov 24, 2015 Posts 1,115 Reaction score 917 Jul 6, 2016 #4 mwanga lutila said: Kuna thread yako nyingine umeianzisha leo inasema "ukawa mpaka lini" lakini Contents zake ni hizi hizi... Umejiunga 2012 lakini bado unapost madudu. Click to expand... Mkuu huyo jamaa ni wa kumpuuza tu , ni wakala wa shetani
mwanga lutila said: Kuna thread yako nyingine umeianzisha leo inasema "ukawa mpaka lini" lakini Contents zake ni hizi hizi... Umejiunga 2012 lakini bado unapost madudu. Click to expand... Mkuu huyo jamaa ni wa kumpuuza tu , ni wakala wa shetani
Y yumbu Member Joined Mar 16, 2012 Posts 66 Reaction score 10 Jul 6, 2016 Thread starter #5 Geofrey Maseta said: Mkuu huyo jamaa ni wa kumpuuza tu , ni wakala wa shetani Click to expand... Hahah nyumbu bana
Geofrey Maseta said: Mkuu huyo jamaa ni wa kumpuuza tu , ni wakala wa shetani Click to expand... Hahah nyumbu bana
Pierreeppah JF-Expert Member Joined Feb 2, 2014 Posts 1,563 Reaction score 1,988 Jul 6, 2016 #6 Hahaaaaaa
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 13,079 Reaction score 12,079 Jul 6, 2016 #7 yumbu said: #JamboLEO Wabunge UKAWA kwenda mahakamani baada ya kunyimwa posho kutokana na kuingia bungeni kusaini kisha kutoka millard ayo on Twitter Nasoma kitabu cha darasa la nne 1999 SIZITAKI MBIVU HIZI. Click to expand... tegemea kupokea matusi kutoka kwa baraza la vijana wa chama.
yumbu said: #JamboLEO Wabunge UKAWA kwenda mahakamani baada ya kunyimwa posho kutokana na kuingia bungeni kusaini kisha kutoka millard ayo on Twitter Nasoma kitabu cha darasa la nne 1999 SIZITAKI MBIVU HIZI. Click to expand... tegemea kupokea matusi kutoka kwa baraza la vijana wa chama.
master of cities JF-Expert Member Joined Mar 14, 2015 Posts 429 Reaction score 628 Jul 6, 2016 #8 yumbu said: #JamboLEO Wabunge UKAWA kwenda mahakamani baada ya kunyimwa posho kutokana na kuingia bungeni kusaini kisha kutoka millard ayo on Twitter Nasoma kitabu cha darasa la nne 1999 SIZITAKI MBIVU HIZI. Click to expand... mkuu hela ngumu sana kitaa...huwezi amini wabunge wa ukawa wanagonea mpak mihogo...na tunawatoa ofa ya kahawa...kweli adui mwombee njaa
yumbu said: #JamboLEO Wabunge UKAWA kwenda mahakamani baada ya kunyimwa posho kutokana na kuingia bungeni kusaini kisha kutoka millard ayo on Twitter Nasoma kitabu cha darasa la nne 1999 SIZITAKI MBIVU HIZI. Click to expand... mkuu hela ngumu sana kitaa...huwezi amini wabunge wa ukawa wanagonea mpak mihogo...na tunawatoa ofa ya kahawa...kweli adui mwombee njaa
T TUTU wa Jijia JF-Expert Member Joined Jul 15, 2016 Posts 727 Reaction score 566 Oct 10, 2016 #9 ukawa ilikuwa zamani, sa hv wasaka tonge tu