Ni sehemu nzuri ya kupumzika na familia yako, marafiki na wapenzi. Beach ni nzuri na safi, vyumba vya kulala Ni vizuri na ubora Wa Hali ya juu . Mazingira ni Salama kwa wakubwa na watoto. Kuna bembea za watoto unaweza Ukalipia kwa Mpesa , tigo pesa, Card au Cash. Unaweza kufanya booking kwenye number hii ;
0710120011.
Bei zetu ziko kwenye tovuti yetu hapo chini.
Au unaweza kutembelea Account yetu ya Instagram hapo chini.
Asanteni na Karibuni sana.