miss naire
JF-Expert Member
- Oct 31, 2016
- 237
- 228
Habari za muda huu,naomba kuuliza kama ulisha wahi upload CV yako brighter monday siku za nyuma,unaweza kuja kupigiwa cm hata kwa.nafasi ambayo hujaomba??Naogopa matapeli wa ajira kwani nimepigiwa na mtu aliye jitambulisha kwa.jina la ANDREW FROM BRIGHTER MONDAY,sija aply kazi ila kani interview kwa cm kasema amecheki CV yangu,je kuna aliye wahi kukutana na hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app