Yeah,idiot feminist Dems.Its shamefully to leftists demos!
Fafanua Mkuu. Au walitaka wachomeke lishoga lenzao ili agenda zao za kishoga zipate support?Yeah,idiot feminist Dems.
Ujinga ujinga tu wa kujifanya wanatetea haki za wanawake bila kutizama uhalisia wa jambo lenyewe(common sense).Marekani sasa hivi kuna ma radical feminists wanaoshawishi wanawake kupewa haki bila hata mahakama kuamua,yaani ile dhana ya Not Guilty Until Proven,Hakuna kabisa,wanalazimisha mtu kuwa na kosa hata bila uchunguzi.Hao ndio 'Idiot liberal feminists'.Fafanua Mkuu. Au walitaka wachomeke lishoga lenzao ili agenda zao za kishoga zipate support?