Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 780
- 1,831
Chama kinawatakia kila la heri waliokuwa viongozi na wanachama waliotangaza kujiondoa leo. Tunatambua na kuthamini mchango wao katika kipindi walichokuwa nasi."
"Chama kitaendelea kusimamia misingi yake na kuwatumikia wanachama waliobaki kwa kuendeleza juhudi za kujenga taifa letu. Milango ya ushirikiano na mazungumzo iko wazi kwa yeyote mwenye nia njema kwa mustakabali wa nchi yetu."-Brenda Rupia Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi CHADEMA Taifa
Soma pia Pre GE2025 - DSM - Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA