Kupata usajili wa kampuni pale brela ni ngumu sana urasimu kibao barua kuomba kutumia jina inachukua wiki mbili ' ukishalipia unapigwa wiki ikiisha ndio hapo utazungushwa miezi mara leo umekosea hiki mara kesho! sasa tutanza kuwataja! Halafu acheni kujisikia hiyo ni kazi tu kama nyingine