mzungu wetu wa Jf usiku mwema.Makhabithi wote hao! Utawafanyiaje mabinti wadogo unyama kama huo. Miafrika bana....
shemeji mbna CPU simpimiiNdo kwanza nasikia hii kitu!Mila nyingine kwakweli ni zakupigwa marufuku na adhabu kwa atakaekiuka!
Niliwahi sikia hii mikoa fulani pia Tanzania wanafanya hivi na lengo ni maziwa ya binti yasianguke
shemeji mbna CPU simpimii
mzungu wetu wa Jf usiku mwema.
Lini nimekuwa mzungu?
Hii hata kwangu pia, naisikia mara ya kwanza.
Ili kuepusha mila kama hizi pamoja na za kukeketa, nafikiri wanaharakati wa jinsia, wangebadilisha approach, kwa kubadilisha mtazamo wa wanaume juu ya viungo vya mwanamke.
Kwenye jamii ya kiafrika, tunawaza sana ngono. Tunatakiwa tubadilishwe mawazo kuwa matiti ya mama ni kwa ajili ya mtoto, na si kwa ajili ya lijibaba lenye ndevu kufanya makamuzi pale. Hata tukiona miguu, jamani, miguu ni kwa ajili ya kutembelea, na makalio ni kwa ajili ya kukaa. Na hivi ndivyo tunavyofundishwa kwenye somo la sayansi ya elimu viumbe (Biolojia). Sasa inakuwaje ukiona miguu kwenye avatar ya MR unafikiria vingine? Ile ni miguu ya kutembelea tu na wanaume nao wanayo! Na matiti ni hotel ya mtoto na si vinginevyo!
Naomba msinishambulie, ni mtazamo tu!

Haswaaaa!Hii hata kwangu pia, naisikia mara ya kwanza.