FA imefuta matokeo ya mchezo kati ya Chelsea vs Liverpool. Mchezo haukua huru na wa haki, Klopp alijitangazia ushindi wa kishindo kabla muamuzi hajamaliza mpira.
Hivyo mwenyekiti wa FA amefuta matokeo ya leo na mechi itarudiwa baada ya msimu wa baridi kumalizika via #Jecha's_decision