Hizo ndege ni khatari, zinapenya popote na pia zenye uwezo wa kubeba mabomu yenye uwezo wa maangamizi makubwa, bomu lenye uwezo wa kusambaratisha vilima na kupiga hadi chini ya ardhi. Iran akubali kuachana na mawazo ya nyuklia ili haya mateso kwake yaishe.