Mchekechoni
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 279
- 19
Pole J.Kabila. Aangalie wacongo wasije wakamfanya kama baba yake manake wacongo wengine wanasema yeye ni Mnyarwanda!!
mkuu kweli watanzania tuna gundu popote tulipo...kuna mtu aliniambia ukishakuwa na gamba la kijani ujue una gundu tu....Anusurika kufanyiziwa kama baba yake. Walinzi wake wawa ngangari.
Ni siku chache tu baada ya kutembelewa na mtu mwenye gundu.
Source: Reutuers
Six dead in failed coup attempt - DR Congo | Top News | Reuters
Watawala walio wengi africa hawakuingia madarakanik ihalali hivyo wananchi hawawataki
Kwan Mkwere ana gundu?
Anusurika kufanyiziwa kama baba yake. Walinzi wake wawa ngangari.
Ni siku chache tu baada ya kutembelewa na mtu mwenye gundu.
Source: Reutuers
Six dead in failed coup attempt - DR Congo | Top News | Reuters[/QUOTE
Walinzi wake ni wabongo wangekuwa wacongoman wangemlipua.
]
L.o.l umeishafika hukuAnusurika kufanyiziwa kama baba yake. Walinzi wake wawa ngangari.
Ni siku chache tu baada ya kutembelewa na mtu mwenye gundu.
Source: Reutuers
Six dead in failed coup attempt - DR Congo | Top News | Reuters[/QUOTE
Walinzi wake ni wabongo wangekuwa wacongoman wangemlipua.
]
L.o.l umeishafika huku
yap! ni after ile formula ya kutibisha mafua.
Pole J.Kabila. Aangalie wacongo wasije wakamfanya kama baba yake manake wacongo wengine wanasema yeye ni Mnyarwanda!!