Jamaa huwa akipewa like na wenzake anadhani ana support kubwa, unfortunately haangalii ishara, juzi tu kuna watu wamefungwa Germany sababu ya kupost the same same post he is posting through jamiiforums.
Yeye bado hataki kukubali tu kuwa kundi lake ni la kighaidi, atalitetea mpaka mwisho wa uhai wake.