tatizo langu niko kama tembo, hujipa likizo ya wiki mbili nihame mji na nimpendaye, muda huo wote usiku na mchana ninakudekeza kama yai jumlisha mambo yetu yale, yaani ukirudi kitaa umeiva kama mwali, na mfukoni sio haba. baada ya hapo ni kazi kazi napunguza ratiba pendwa. unaweza hiyo?