Na kumbuka kwamba mazoea hujenga tabia. Nakumbuka niliwahi kumkubalia jambo flani baada ya siku 2 anahitaji kubwa zaidi ya ile. Ni bora akuone mndava kuliko hayo mapenzi ya kifilipino
Breakfast on bed....nimekusaidia tu.
Ukisema in bed una imply umelala...ukisema on bed una imply umekaa au umesimama hata kurukaruka.
Hey I'm an engineer usiniulize sana