Brazil: Flyover ilivyoanguka mwaka 2014

Du, salaleh!!! Mungu epusha hii isitokee Tazara au Ubungo!
 
Laana ya yule mama kwa kumfanyia fitina kwenye urais wake.
 
Hata haijakamilika imesha dondoka.... Duh hilo ni balaa. Maana inaonekana ujenzi ulikuwa unaendelea.
 
Yani hapa hao marehemu watakuwa wamepondwa kama chapati vile
 
Huyu mama rais wa brazil kweli fisadi maana flyover imejengwa chini ya kiwango.
 
Ameondolewa madarakani hivyo anaondoka na vitu vyake fake.
 
jameni wakina mama wakichukua uongozi inakua kaaaazi kwelikweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…