hao wanaonekana ni mapacha wa kufanana, wanafanana kila kitu mzee, ukichukua mmoja utakachokikuta kwa huyo hata kwa mwenzie vilevile everything.Huyu wa mkono wa kushoto kwake najua atakua yupo humu naomba uni pm baby
unamchukia msigwa? hahaha, vipi amesaidiana na nyalandu kuzuia ujangili wewe ukashindwa kusafirisha meno ya tembo nini?Yani uyu jamaa namchukia kama ccm
usimhukumu bure. angalia ile picha akiwa na mrema pale shingoni kuna chapeo ya kichungaji. alikuwa na kanisa la pentecost pale iringa mjini huyu, lilikuwa dogo sana hata hivyo. ila familia yake nahisi walikuwa wachungaji (baba na mama).Mleta mada ya picha, mbona hukuonesha kisection cha uchungaji?Au huo uchungaji
wake ni wa kuchonga nini?
Umeokoka? Ongea na Yesu atakuletea bila hata kupiga simu! Sema Eimeeeni!mwenye namba za hao mabinti anipatie fasta
Watch out Part 2 Analeta kwa awamu!Mleta mada ya picha, mbona hukuonesha kisection cha uchungaji?Au huo uchungaji
wake ni wa kuchonga nini?