Braza katoka mbaliiiiii! alishauza mitumba.

Ubungoubungo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2008
Posts
2,502
Reaction score
743
hapa akiuza mitumba iringa mjini.



hapa alikuwa anachumba mchumba aliyekuja kuwa mke wake wa watoto sita.



hapa akiwa mcheza mpira, aliyevaa nyekundu.


hapa akijaribu ubunge mara ya kwanza akiwa na mzee mrema. alikuja kumpiga chini kajiunga na peoplessssss



ameshapata ubunge anapambana na majangili wala nchi. hana mchezo.




ana mabinti mapacha warembo balaaa. ila amefuga mbwa wakali sana usiende kichwakichwa.



na mwaka huu anachukua jimbo la iringa, mwakalebela usipoteze muda.
 
uvumilivu ndo kila kitu.... huyo binti angekua wa dot com wasingedumu mpaka sahizi!!!!
 
mwenye namba za hao mabinti anipatie fasta
 
Sidhani kama Msigwa alipitia huko. he seems to be a learned man from his presentation of arguments in the bunge! Enzi hizo hapakuwa na uhaba wa kazi kama sasa! Kwa sasa kweli wasomi wanauza mitumba. Nimeona SUA graduates wanafuga Kwale Mwanza.
 
Dah, kumbe na yeye kalamba chumvi za kutosha.
 
Safi sana, sio mijitu imezoea soseji na mayai halafu inasema inazijua shida za wananchi na inang'ang'ania kwenda bungeni ili hali hata daladala hajawahi kupanda, shenxs taipu!!!!!!
Na wanapoomba kura zenu munawapa munasema matukio waliyohusishwa nayo kuwa walitolewa kafara tu hawakufanya wao
 
Na wanapoomba kura zenu munawapa munasema matukio waliyohusishwa nayo kuwa walitolewa kafara tu hawakufanya wao

Kibaya zaidi hawawataji wahusika ikiwa wao walitolewa kafara, hii nchi ina maigizo hii, mmmh!!!!!!!!
 
dah basi umri wake utakua umeenda sana maana hizo picha za nyuma sana
 
dah basi umri wake utakua umeenda sana maana hizo picha za nyuma sana
mkongwe kwa kweli. pale iringa ana bonge la mjumba aisee, na alilipata kabla hata hajawa mbunge.
 
Huyu wa mkono wa kushoto kwake najua atakua yupo humu naomba uni pm baby
 

Attachments

  • 1428175385295.jpg
    84.1 KB · Views: 353

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…