Bravo ccm, bravoooooo




Pole sana!!! ZINDUKA MKUU!! maana CCM wamejimwagia maji mwilini bado hawajaoga harufu ya jasho bado ingalipo mwilini sasa huo sio usafi ni kujidanganya kuwa wameoga uchafu ukopalepale!

Ningewasahuri wachukue maji ya kutosha na sabuni ili wajisugue mwili mzima kuanzia kichwani hadi unyayoni ndipo waseme kuwa wako wasafi wameoga wakatakata!!!


Bila kufanya hivyo ni :rip: Chama cha Magamba



 
nani alikwambia nyoka aki undergo moulting anageuka kuwa mjusi? hata biology ya form two huifahamu! kazi ipo kufikia mabadiliko
 

Thread zingine ukichangia unaweza kujikuta unapigwa ban bureee, nasubiri baadaye baadaye niende kuleeee kwa Maria Roza.
 
Magamba yapi? Kikwete yuko kwenye list of shame kwa hiyo ni sehemu ya gamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…