Mwanaharakati2013 Senior Member Joined Sep 29, 2013 Posts 170 Reaction score 15 Dec 13, 2013 #1 wakuu.. kwa wauzaji wa laptop ninahitaji mini laptop kwa muuzaji yeyote anipe specifications na bei. ni kwa matumizi ya kawaida tu sina matumizi makubwa nayo. Natanguliza shukrani.
wakuu.. kwa wauzaji wa laptop ninahitaji mini laptop kwa muuzaji yeyote anipe specifications na bei. ni kwa matumizi ya kawaida tu sina matumizi makubwa nayo. Natanguliza shukrani.
Mwanaharakati2013 Senior Member Joined Sep 29, 2013 Posts 170 Reaction score 15 Dec 14, 2013 Thread starter #2 wakuu nasubiria jibu.
Mwanaharakati2013 Senior Member Joined Sep 29, 2013 Posts 170 Reaction score 15 Dec 14, 2013 Thread starter #3 chief-mkwawa fadhili Paul C6 etc naombeni msaada no wapi nitapata hii kitu kabla sijadokoa haka kahela. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
chief-mkwawa fadhili Paul C6 etc naombeni msaada no wapi nitapata hii kitu kabla sijadokoa haka kahela.
Mwanaharakati2013 Senior Member Joined Sep 29, 2013 Posts 170 Reaction score 15 Dec 14, 2013 Thread starter #4 chief-mkwawa fadhili Paulo C6 etc naombeni msaada no wapi nitapata hii kitu kabla sijadokoa haka kahela. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
chief-mkwawa fadhili Paulo C6 etc naombeni msaada no wapi nitapata hii kitu kabla sijadokoa haka kahela.
Mwanaharakati2013 Senior Member Joined Sep 29, 2013 Posts 170 Reaction score 15 Dec 16, 2013 Thread starter #5 anybody with a mini laptop?
tata mvoni JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 534 Reaction score 81 Dec 16, 2013 #6 ingia mlimani city kuna duka lipo karibu na shoprite wanauza kwa tshs.450,000/=