Marisa Marissa
Member
- May 13, 2013
- 59
- 11
Kabisa ndo maana siku hizi sizishobokei niliwahi nunua kwa MTU nikajuta!!Jamani hizi simu bila warant ni nomaaa. Nimemnunulia mtu pale mcity. Ikaanza shida tukawarudishia wakatest mpaka marekani wakathibitisha ina shida na sasa nasubiri nyingine mpya.
Hahahha mbona una comment tu bila mpango ndugu. Umeambiwa mimi sitoi warranty? Au unaharibu threads za watu tu?Jamani hizi simu bila warant ni nomaaa. Nimemnunulia mtu pale mcity. Ikaanza shida tukawarudishia wakatest mpaka marekani wakathibitisha ina shida na sasa nasubiri nyingine mpya.