Brand New Dell Machines Zinauzwa

Mkubwa kuna office nafuatilia katenda nina uhakika wa 70% mpaka sasa wa kukawin
mungu akisaidia ntakupigia jamaa wanahitaji 100
Tuombe mungu ajalie


@kidogo chetu: Poa kaka fanya mambo mkuu .... pamoja tunaweza, kwani wao waweze wananini mpaka sisi tushindwe bana...?? lets do business man!
 
Hiyo bei mmh mbona inaonekana ni poa sana.kwa specification hizo hata china hupati kwa bei hiyo.au ndo bidhaa kwa ajili ya Africa?


Kaka umezoea kuibiwa mpaka inafika wakati huamini kabisa bei rahisi....

jamaa wanaouza hizi makitu wanamake superProfit mkubwa we acha tu.

hizi machine ni genuine, na huwa hazipatikani kwa mtu mmoja-mmoja

huwa zinaenda kwa order maalum especially kwenye makampuni makubwa

kama mabenki hivi....sasa kitu ambacho kinanunuliwa na makampuni yenye

hela zao hutakiwi uwe na doubt kabisa juu ya ubora...
 
Generally Dell machine ni nzuri mnooo! nina ya kwangu ina mwaka sasa ni kama nimenunua jana, ningekuwa bongo ningekuona mkuuu, natumaini mzigo utatoka tuuu
Good Luck man
 
@madule: thanks for your good wish man...!

all the best huko kwa wadosi...zichangechange kaka, uje kuijenga nchi

yako, manake huku bongo sikuhizi wageni ndo wanautawala uchumi wetu

kila kitu mhindi, kwanzia supply, maintanance hadi software development

wakati hivi vitu tunavipiga wenyewe kabisa.

poa mkuu....
 
Kupitia JF nimeweza kupata Order ya PC 200...tanx, bado zipo nyingi ila nataka wana-JF tunufaike wote....ndo mana nasisitiza kuzidi kutafuta tenda maofisini kwenu, mitaani na kwenye dili za mtu mmoja mmoja..
Tafadhali muone mshika kipenga Invisible kwa mchango wako ili hii tovuti iendelee kukaa hewani....Please...I'm serious!!
 
Tafadhali muone mshika kipenga Invisible kwa mchango wako ili hii tovuti iendelee kukaa hewani....Please...I'm serious!!

@mwazange: No doubt bro' even the bible says abt thanks givin don wory....its like u were in my mind...lemie finish dis stuff thn i`ll get back to INviSiBlE
 
Mzee unaweza tunashukuru kwa kutupa mawasiliano ila kama ungetupa na e-mail ingekuwa vema pia. lakini unatoa quotation (Invoice)?
 
Mzee unaweza tunashukuru kwa kutupa mawasiliano ila kama ungetupa na e-mail ingekuwa vema pia. lakini unatoa quotation (Invoice)?

ukitaka invoice utapata mkuu....email:ekbiz10@gmail.com
 
Back
Top Bottom