Brand New Dell Machines Zinauzwa

ZionTZ

JF-Expert Member
Oct 6, 2009
1,283
538
Heshima zenu wakuu...Nina machine za dell (ultra small form factor) kama 700 hivi naziuza, zina specification nzuri sana kama ifuatavyo:

Duo core 2.2ghz processor speed, RAM 2gb, 320gb(size ya harddisk), 17 inch flat monitor with all accessories like keyboard, mouse, internal speakers only at TZS800,000/=

Dukani ni zaidi ya hapo wanauza dola 1200.

zipo nyingi kama office yeyote inataka naweza kusuply hata zaidi ya hapo nikishirikiana pamoja na wewe mkuu. hata mtu mmoja mmoja...

Namba yangu ni: 0757279780 nipo hewani 24/7
 

Attachments

  • ultra small form factor2.jpg
    ultra small form factor2.jpg
    2.4 KB · Views: 75
  • ultra small form factor.jpg
    ultra small form factor.jpg
    3 KB · Views: 93
  • ultra small form factor3.jpg
    ultra small form factor3.jpg
    2.1 KB · Views: 85
Mkuu hizo machine za dell ziko tayari kutumiwa au mpaka uanze kuinstall windows? Is it windows 7 capable?
 
Mkuu hizo machine za dell ziko tayari kutumiwa au mpaka uanze kuinstall windows? Is it windows 7 capable?


yeah hzo zinasupport window xp , vista, window 7...ukiangalia specs utang'amua....
 
Muheshimiwa ZionTz.

Hebu nieleza unataka ulipwe vipi. Utakubali kukopesha/hire purchase n.k
Hizi mashine zikowapi?
Unaweza kutuma more of their specs
 
Muheshimiwa ZionTz.

Hebu nieleza unataka ulipwe vipi. Utakubali kukopesha/hire purchase n.k
Hizi mashine zikowapi?
Unaweza kutuma more of their specs

Mashine ziko dar mkubwa....

kukopesha?? fafanua zaidi....yani unakopeshwa ili uuze somewhere else

alafu ukilipwa ndo unilipe au....

specs zingine ni standard kama combo dvd(inaburn na kusoma dvd)

hizi machine kwa bongo zinatumika sana kwenye mabenki yani you can

judge their perfomance by considering their specs and brand name...
 
Jamani changamkieni dili hiyo hizo mashine sijui zinanini mimi nilikuwa nayo nimeisha itumia muda mrefu lkn jamaa akaniletea dell opt 755 mpya kwenye box akachukue hiyo kompyuter yangu kama anazosema Zion,
Kazi kwenu.
 
Pls tupe Dell Model gani...?atleast thru model #, tunaweza fanya googling kutusaidia kupata more info.

By the way price inaonekana ipo reasonable...sema kipato chetu nacho kiduchu
 
Powa basi kamanda ntakutafuta...na sijaona ile catch phrase yetu maarufu hapa "Pungufu Tunaongea"...au wewe hauna hiyo?

hahahahah umenifurahisha mkuu...we ntafute kama uko serious wanaJF hatushindwani bana....
 
Kupitia JF nimeweza kupata Order ya PC 200...tanx, bado zipo nyingi ila nataka wana-JF tunufaike wote....ndo mana nasisitiza kuzidi kutafuta tenda maofisini kwenu, mitaani na kwenye dili za mtu mmoja mmoja..
 
Kupitia JF nimeweza kupata Order ya PC 200...tanx, bado zipo nyingi ila nataka wana-JF tunufaike wote....ndo mana nasisitiza kuzidi kutafuta tenda maofisini kwenu, mitaani na kwenye dili za mtu mmoja mmoja..
Hiyo bei mmh mbona inaonekana ni poa sana.kwa specification hizo hata china hupati kwa bei hiyo.au ndo bidhaa kwa ajili ya Africa?
 
Mkubwa kuna office nafuatilia katenda nina uhakika wa 70% mpaka sasa wa kukawin
mungu akisaidia ntakupigia jamaa wanahitaji 100
Tuombe mungu ajalie
 
Back
Top Bottom