Habari wana jf,
Nina tatizo kidogo jinsi ya kulipa mkopo wa kampuni tajwa hapo huu.Kampuni ya branch.Nilichukua mkopo sasa nashindwa jinsi ya kufanya malipo ya mkopo huu na ni Mara ya kwanza kukopa kwao.

Kwa voda piga *150*00# chagua lipa bili. Kisha kuweka namba ya kampuni ambayo ni 256699. Kwenye namba ya kumbukumbu ya malipo ingiza namba ya simu. Ingiza kiasi unachodaiwa, kisha namba ya siri halafu tuma.