Muulize anavaa size ngapi au tuma picha yake whatsAppOk, size inakuwaje sasa coz nataka nimchukulie rafiki. Mimi ni me.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waje wajione udhaifu wao ukiwa sokoni mkuu,hahah.Hehehe
chaputa wamefanya nini tena..?
HahaWaje wajione udhaifu wao ukiwa sokoni mkuu,hahah.
Hahah hio ni siri ya Jeshi mkuu.Haha
Sasa hizo mbinu za ndani hivyo imezijuaje Mkuu. .?
Haha sawa kamanda.Hahah hio ni siri ya Jeshi mkuu.
Wenye vifua vikubwa huna bra zetu
Hahah sawa mkuu,lkn jamaa wa kile chama watanunua sabuni nzuri za mapovu na mafuta ya mgando basi.Vingine kwao anasa tu hahahHaha sawa kamanda.
Mzigo huo watu wanunue vitu vipo classic...mwanamke kupendeza