maelezo yako hayajajitosheleza mshahara anaopata unaenda wapi? kama wote anakupa wewe kwanini asikuombe,muda mwingine wewe unatakiwa uwe na akili yakujiongeza kwa huyo mpenzi wako jinsi gani umfanye awe bora kama wanaume wengine siku zote tabia hubadilishwa na mtu na mtu mwenyewe niwewe wakumbadili
.....mfungulie miradi awe anasimamia atokapo skuli...
Naona tatizo lako
1. ni elimu yake
2. kutokupenda kuchacharika
3. Wivu
***mpe mwaka mzima tena wa mategemeo nawe ubadili mawazo unayojijengea juu yake
mi nna kazi na kamshahara nakokapata kananitosha nashukuru Mungu
Wavivu wanajulikana.
Ndege wafananao huruka pamoja..
Beckham sio mpumbavu kumuoa victoria ,,,,, eva longoria na tony parker,,
wavivu kwa wavivu,, wanaojituma kwa wanaojituma,,, ndio maisha ya kisasa yanavyotaka,,
Mungu amesikia kilio chako. Ni-PM namba yako. Mimi sitakutegemea, wewe ndo utanitegemea mimi.
Wanawake mnaweza umewezeshwaNafikiri kama kweli unampenda usiangalie elimu au status yake! jaribu kupanga mipangilio mizuri ya maisha yenu ya baadae natumaini mtatoka kama kweli unampenda lakini,
Ila kama lengo lako ni kipato ie mumeo awe na kipato au elimu same level to you itatake time nawe age inadhidi songa sidhani kama utapata hata huyo mwalimu.