Boxer yauzwa

Mkuu at least ungeweka bei ya kuanzia ili kupunguza maswali mengi huko pembeni.
 
Imetumika muda gani? Tuwekee na bei kiongozi
 
Imetembea kilometer ngapi? Weka na bei kabisa kiongozi!
 
nitafute 0759173016,0658173016....1.6
Kwa Magufuli mtajua namna ya kujitangaza kibiashara maana hamna namna.
Mkuu jiongeze, sema uko wapi, hali ya boxer nk ili watu wajibiwe maswali kabla ya kuuliza
 
Ambae yupo serious anpgie kwa maswal, bei 1.6,bm nyeus nmetumia miez minne hali ilvo niambie ulipo nkuletee uone kwa DSM
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…